Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Dada cocochanel naomba ukuje basiKila nikimquote yeye kimya, anaendelea kupost tu.
Kwa mara ya kwanza napiga mtori nikiwa mtu mzima ilikuwa ni pale 77, niliapa kuoa mchaga.Hapana... will try though. Hua napenda sana mtori na chapati fulani hivi, kuwepo na soft drink, preferably sprite ama seven up.