mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Enzi hizo nyimbo tunaziandika kwenye madaftari... Hapa TLC, Debora Cox, Brandy, Aaliyah...huku kuna Eve, DaBrat, Queen Latifah... Unahama unakutana na Biggie, 2Pac,Elephant grass, Beenie man,... Unachoka, unalala na Joe, 112,Keith Sweet, Next, Case, Mc Knight, Boya ll men,...unashituka na Alfa Blondie, Gregory Isaac, Peter Tosh, Culture,...
Hahahaha mkuu niajeEnzi hizo nyimbo tunaziandika kwenye madaftari... Hapa TLC, Debora Cox, Brandy, Aaliyah...huku kuna Eve, DaBrat, Queen Latifah... Unahama unakutana na Biggie, 2Pac,Elephant grass, Beenie man,... Unachoka, unalala na Joe, 112,Keith Sweet, Next, Case, Mc Knight, Boya ll men,...unashituka na Alfa Blondie, Gregory Isaac, Peter Tosh, Culture,...
Maisha haya hayana huruma, kuna watu wanapitia magumu sana aisee; mpaka kuna kipindi unajiuliza hivi mimi Mwenyezi Mungu nilimpa "Mlungula" gani? 😀🙏Soma upate mawili matatu: Graduate Mambo Ninayopitia Kipindi hiki katika harakati zangu.
Ila maisha ni shwaini kabisa, miaka miwili nimepiga utingo. Mwaka mmoja na miezi minne kazi ulinzi wa kirungu.Mvua yangu, vumbi langu, mbu rafiki zangu wa kukesha nao, baridi koma hadi nikajifunza kunywa gongo
Shida ni pale unataka ku share na watoto kauzoefu ka maisha magumu uliyopitia... Utasikia "baba hicho kilikuwa kipindi chako, ulikuwa unatuandalia maisha ili tusije teseka"... Mzazi unatamani ufe ukae sehemu uanze kuwachungulia uone wanavyo hanja maisha kwa ajili ya watoto wao [emoji1][emoji1][emoji1]Maisha haya hayana huruma, kuna watu wanapitia magumu sana aisee; mpaka kuna kipindi unajiuliza hivi mimi Mwenyezi Mungu nilimpa "Mlungula" gani? [emoji3][emoji120]
Safi kabisa mzee wa ini, hongereni wote kwa ushindi wa karne [emoji119]Hahahaha mkuu niaje