Ukichukua yanga vs Azam
Yanga vs namungo
Yanga vs Kagera
Kama ww ni mpenda soka unasema kabisaaa Mimi Mimi nimepotea bora upende bongo movie ukaone jini linaloangalia huku na huku kuvuka barabara au jambaz anaevua viatu kuingia ndani kuiba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yanga hii ndio iliyotwaaa ubingwa enzi ya Mwalimu na Ally Hassani Mwinyi lzm wawe makombe 27[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] makombe ya halali utakuta 8 tu