Wakushukuru entertainmentThanks
Wewe si binti kabisa...?? Mkuu unafaidika nini kukalia uchimi??
Avatar yako iko haiSambaza upendo wa like kwa kubonyeza like bila haga kuangalia ID
Eeeeeh
Buku 5 na vitafunwa na maji bariiida.Sh.ngapi huu mzigo?
Kupenda hakuchaguiKupenda n kuchagua
Usijichanganye ukadhani ni SIMBA YA BUYENZE,huyo ni SHIMBA sio SIMBA ππKula likes. Vijembe vya lile jukwaa la mapovu mafisi vs manyumbu. Vibakie huko huko [emoji23][emoji23][emoji23]