cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ndugu haoUsiku mwema na Saidi mwema sio ndugu ni majina tu yamefanana.
Direct proportional to likes20pps yani 20 posts per second
Doooh, am speechless. Wapi kichwa kichafu, wapi Andjul, wapi Carba ......!!!????Nipo kijana
Hujambo?
Pole na msongo huo.Nipo wapenzi, nawamis sana japo pia niko na msongo wa mawazo balaa. Ila nikiingia humu napata faraja nachekaaaaaa weeeee nasahau machungu kwa muda.
Ni kweli aisee...Yamefanyika mapinduzi ya umaarufu wa miji,Kibiti imeipindua Koromije kwa umaarufu.
Braza hapo si kuamsha njaaUkweli ni kwamba wanaume wa mkoani km mbunge wa Kilwa vijijini wanatuonea sana wivu wanaume wa Dar.
Asante sanaPole na msongo huo.
Karibu uburudike
Qatar crisisQatar airways
HustleKung fu
HungSammo hung
Nashukru hatujambo kbs.Ng'waguku bageshi. Hujambo na wapendwa wako? Shemeji Andjul hajambo?