cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
HqhahahahUsijichanganye ukadhani ni SIMBA YA BUYENZE,huyo ni SHIMBA sio SIMBA 😀😀
Hahahahahahhaa jamaa umefurah saana weweUnawatafuta wa nini wakati unaongea na Coco hapa?
Kula na weweKula chuma kingine cha likes
Nini tena sis? Andjul ndiyo sababu ama? Jaribu kutoka nje. Jichanganye na watu. Sali. Sali. Sali..Nipo wapenzi, nawamis sana japo pia niko na msongo wa mawazo balaa. Ila nikiingia humu napata faraja nachekaaaaaa weeeee nasahau machungu kwa muda.
NumbisaNahisi huyu emma ni wewe kabisa hahahaView attachment 537857
HhahahahahaBora maumivu ya risasi kuliko maumivu ya mapenzi.
Baada ya mwaka unahangaika kutafuta dawa ya kuongeza nguv za kiume kisa ulajiKwa mwendo huu lazma akuonee wivu Mkuu.
100000Mi sina uchoyo wa like,unataka ngapi?