Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NYOTA wa muziki nchini Marekani, Rihanna, ameweka wazi kusitisha mipango yake ya kuachia albamu ya tisa na kujikita kwenye mambo ya urembo. Rihanna (32), mara ya mwisho kuachia albamu ilikuwa 2016, lakini kulikuwa na taarifa kwamba mwaka huu ataachia albamu mpya.
 
RAIS wa Marekani Donald Trump ameapa kuwashinda wapinzani wake katika uchaguzi mkuu utakaofanyika hivi karibuni. Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya uhuru katika Ikulu ya Marekani akiwa ameambatana na mke wake, Trump alisema atawashinda wapinzani wake wa mrengo wa kushoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…