Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
safiiiMahindi nayo hali siyo mbaya sanaView attachment 1500186
Hongera mkulima huyuMaembe yanaenda vemaView attachment 1500191
😂😂😂Hamna kitu kinauma kama umepanda mtini unaona tunda lilee limeiva ila huwezi kulichuma..View attachment 1500262
Yaan[emoji23][emoji23][emoji23]
Chumvi tamu bhana[emoji23][emoji23]Mzamiaji..View attachment 1500247
Pesa ndiyo kila kitu, ukipata pesa vingine vinajileta tuTutafuteni pesa mkuu. Vitu kama hivi bila pesa utaishia kuviona kwenye tivii tu [emoji16][emoji16]
Karibu hapa shamba utakula mpaka basi[emoji23][emoji23]N
Nimetamaniii
Huenda ni Moshi Bar hapo Ukonga Mombasa.
Lipopoe na gongo mkuu[emoji23]Hamna kitu kinauma kama umepanda mtini unaona tunda lilee limeiva ila huwezi kulichuma..View attachment 1500262