moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wajinga walitucheleweshea Ubingwa makusudi! Wacha adabu iwakae!!
Nakuona uko busy na Afya🤣Pumzika na burudika
Ni vyema ukafahamu kuwa kesho yako inategemea afya njema ya mwili na akili. Hivyo ni vyema ukatenga muda wa kutosha kwa ajili ya kupumzika na kuburudika. Kwa kufanya hivi mwili wako na akili vitajijenga na kujisafi kwa ajili ya kuanza kesho nzuri yenye tija na furaha.