Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa shingo upande alikubali kumsubiri.
Lakini laiti angelijua nini kingelitokea dakika kadhaa mbele hakika asingestahimili kukaa walau nusu sekunde.

Muonekano wake ulimponza masikini!
Katika umri mdogo aliokuwa nao Anitha tayari aliyavutia macho na kuwatoa udenda wanaume wengi wa kware wenye umri sawa na baba yake mzazi!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…