Risasi kutoka bunduki za walenga shabaha (Sniper) ina uwezo wa kwenda umbali mrefu zaidi kiasi kwamba namna Dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake inaweza kubadili uelekeo wa risasi hiyo
Mwaka 2011 madaktari walisema kuwa Fagilyu Mukhametzyanov, kutoka Kazan, Urusi, ameshafariki lakini kumbe alikuwa amezirai na alikuja kustuka wakati anakaribia kuzikwa. Alipatwa na mstuko wa moyo na akakimbizwa Hospitali lakini alikufa ndani ya dakika 12, Safari hii ikiwa ni kifo cha kweli.