capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hili jamaa bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1511708
Watarogana sana....Vitisho jimbo la MalinyiView attachment 1511814
Kumbe bado. This is fake news....Watarogana sana....
Sasa huyu Bashite ndo inakuwaje? Anarudia ukuu wa Mkoa au mpaka daddy wake ampeleke kwingine? Karata kazichanga vibayaaaa [emoji16]
View attachment 1511830
Huyu mzee nampenda sana. Hata 2015 alikuwa kivutio..."Mbele ya Mlima Kilimanjaro nitaweka pazia, Mji wa Msohi nitaubadilisha hata jina la Moshi nitaliondoa, wanaoingia kazini na irizi nitawasafisha"
Mgombea Ubunge Moshi Mjini Omary Mwariko
View attachment 1511856