Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yegomasika ugumu haufaiiiiTafiti: Kwa afya, Binadamu kwa siku inatakiwa apate mabusu si chini ya matatu, inatajwa husaidia kuongeza muda zaidi wa kuishi.
Sijambo bwana Moud, za leo.?Hujambo mrembo
Pengine hii ndiyo siri yetu Wasukuma hii. Miaka 75 lakini bado mechi za mchangani naziweza. Maziwa mgando hoyeee [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Tafiti: Unywaji wa maziwa mgando mara kwa mara husaidia kutokuzeeka vibaya.
CHAPUTA wakiona hii si ajabu wakachangishana ili kukuzawadia [emoji16][emoji16][emoji16]Punyeto (Masturbations) inaweza kuongeza kinga zaidi ya mwili, Kufika kilele (Orgasm) husaidia pia kuleta usawa wa Cortisol Hormone' ambayo kama ikizidi husababisha Stress na Sonona (Depression).
Hahahaa kama watakua hawajasoma madhara yake pia hapoCHAPUTA wakiona hii si ajabu wakachangishana ili kukuzawadia [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi mzima bi Happens, habari za majukumuSijambo bwana Moud, za leo.?
Kuwekeza kwenye chama unafanyeje mkuu?Tatzo walikurupuka tu, wangeanza kuwekeza kwenye chama kwanza ndio waje watangaze nia zao
Bas naanza kuzivaa kuanzia sasa kumbe zilitengenezwa mahususi kwaajir yetuT-Shirts ziligunduliwa mwaka 1904, Zilikuwa maalum kwa wanaume wasiokuwa na wapenzi wa kuwasaidia kufunga vifungo vya shati.