moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
We watie moyo tu.Punyeto (Masturbations) inaweza kuongeza kinga zaidi ya mwili, Kufika kilele (Orgasm) husaidia pia kuleta usawa wa Cortisol Hormone' ambayo kama ikizidi husababisha Stress na Sonona (Depression).
Hapo nikuonekana unashiriki katika harakati zote za kutetea na kuinua chama iwe sherehe, mkutano, fundraising, ata kwenye uzinduzi wa vitawi uwe unaonekana na unachangia mawazo na kifedha inapo itajika. Hio ndio siasaKuwekeza kwenye chama unafanyeje mkuu?