Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usalama wa Taifa huwa hawaachi kazi. Labda mpaka afe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hana kazi sasahivi
Ongea tu
Usijekuta na kenyewe ni ka mtu ka system ohoooo !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Atakuwa ametumwa, siyo bure
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa ametumwa, siyo bure
Kama yeye mwenyewe amekubali yamuue wewe ni nani mpaka akujali. Asiyejipenda na kujijali atawezaje kupenda na kujali wengine?Tena uwa wananiuzi mtu had sehem ya public yupo na masigara yake tu hajui kuwa anawaathiri wengine
Kero tuTena uwa wananiuzi mtu had sehem ya public yupo na masigara yake tu hajui kuwa anawaathiri wengine
Sasa kusombelea maji ya kuoga kisimani na likes nani wanapata raha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo maana.
Watu wanasombelea maji nyi mnahangaika na like ambazo hazina faida
Kumuona ndiyo DNA?Kumbe wanaume wa dar mna shida hvyo? Bora sisi wa mikoani ukinishikisha siku ya kujifungua unaenda kujifungulia home kwetu ukitoka hospital unakuta bibi, shangazi na mama wadogo wanakusubiri hom ukiingia tu wanakuomba mtoto wamuone . Mbona hapo haina aja ya DNA.
Yesu wangu [emoji23]Usijekuta na kenyewe ni ka mtu ka system ohoooo !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Endelea nakujaHana kazi sasahivi
Ongea tu
Nani usalama wa taifa?Usalama wa Taifa huwa hawaachi kazi. Labda mpaka afe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea nakuja
Vibibi vina chunguzaga watoto we acha. Ukiona bibi yako kamshika mtoto ako alaf akaguna jua hapo umepigwa changa la machoKumuona ndiyo DNA?
Kwani mlikuwa mnamwongelea nani?Nani usalama wa taifa?
Ndo zenu hizo. Kuuvaa uhusika vizuri....Hata kama ni kujifanya kichaaYesu wangu [emoji23]
Ningekuwa naganga njaa hivi mtaani?!
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya.Ndo zenu hizo. Kuuvaa uhusika vizuri....
Shwaini zenu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji85]
Makonda au??Kwani mlikuwa mnamwongelea nani?
We nishakushtukia muda mrefu sana [emoji16][emoji16]Makonda au??
Hivi wanaangalia vigezo gani na mimi niende kuomba kibarua.
AiseeWe nishakushtukia muda mrefu sana [emoji16][emoji16]
HatujamboHamjambo
DuuuVibibi vina chunguzaga watoto we acha. Ukiona bibi yako kamshika mtoto ako alaf akaguna jua hapo umepigwa changa la macho