ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji38][emoji23][emoji23]
Nafanya kumuenzi Mkuu BAK..Yaani nafika tu nakutana na madini yako, wewe jamaa wewe [emoji3]
Asante sana Bro... Tukawe na siku njema,Mungu abariki kazi za mikono yetu.Makofi.[emoji120][emoji120][emoji120]
Wasaliti hawana nafasi Duniani wala akhera.
Safi sana bro
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Bro Shimba hastahili umri ule wa kutumia mafuta ya Ray'sHahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka hiyo, ati ana miaka 75, lakini alitumia Ray's akiwa primary wakati mafuta ni ya miaka ya 80 na 90.
Wakati huo watu tulishaanza maisha kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]