Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mgombea udiwani wa Kata ya Sungwizi, Tarafa ya Simbo, wilaya ya Igunga mkoni Tabora, ndugu Katambi Sospiter, amepata wakati mgumu, baada ya kudondosha kibuyu cha dawa za kienyeji wakati akipanda ngazi kuingia kwenye ukumbi wa shule ya msingi Sungwizi uliotumika kupigia kura za maoni kwenye kata hiyo.
Tukio hilo limetokea kwa bahati mbaya mbele ya wajumbe na wagombea wenzake jana jumamosi julai 25 2020



Nipashe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…