Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapopiga picha, unaitazama hujaridhika nayo, kwa kawaida hukati tamaa. Unafuta unapiga nyingine kupata picha nzuri zaidi. Sasa ndugu Yangu, Kwa nini usifanye vivyo hivyo kwenye maisha yako? Jipe nafasi ya pili kurekebisha makosa. Ukianguka inuka jifute vumbi endelea na safari kwa pozi jingine.
 
watu ambao hupaswi kuwasikiliza muda wote
  1. entrepreneur waliofanikiwa a.k.a mentor
  2. wazee wa nukuu za kukujengea morali
eti ukianguka inuka baadae ujifute vumbi,
kama nimetoka damu je?
 
Kila siku tunafanya maamuzi. Maamuzi ya muda mfupi,muda wa kati na maamuzi ya muda mrefu.Iwe kwa kujua na mengine bila hata kujua lakini cha msingi kila saa tunafanya maamuzi. ambayo yana athari moja au nyingine katika maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…