moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Duuu, pole.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
Saa 10 nimekuona unakatiza kwenye comments zangu kugonga likes,,muda huo ndio nilikuwa naamka.
halafu Hadi muda huu sijalala,nipo natangatanga hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
KAribu kwangu tukule pilau!Hadi sasa uwanja wa mwaliko unasoma bila bila
0-0
Waislam humu ndani[emoji26],msinifanyie hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo hivyo Duniani kote mkuuNdio mnawakaribishaga hvyo ila mwisho wa siku mnamuondoa kwa aibu
Nzuri malaika mwema mpole mkarimu. Hujambo? Za siku nyingi?Habari zenyu?View attachment 1521774