Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BINGWA WA KUJAMBA DUNIANI

Unaweza kujamba ushuzi mmoja kwa zaidi ya dakika 2 na sekunde 42??

Basi Bernard Clemmens kutoka Katika jiji la London nchini Uingereza anashikilia rekodi ya kujamba ushuzi mrefu kuliko binadamu yoyote duniani

Bernard Clemmens aliweza kuachia ushuzi kwa muda wa dakika 2 na sekunde 42 hivyo akapewa cheti cha kutambuliwa na kitabu cha rekodi za dunia
 
HAWA NDIO WANAFALSA WAKUBWA DUNIANI WALIOFUNDISHWA FALSAFA BARANI AFRICA

Tofauti na sasa ambako ukitaka kuongeza ujuzi wa masomo lazima uwende ulaya au China ukasome ndio utajulikana umesoma sana

Lakini hapo awali kimbilio pekee na sahihi kama ukitaka kusoma fizikia, sheria, mahesabu, na fasihi ilikuwa ni lazima uje kusoma barani afrika

Wanafunzi wa wakati ule waliikimbilia afrika kwa ajili ya kujifunza falsafa na sio sehemu nyengine dunianiy kwa sababu kulikuwa na watu mahiri kwenye taaluma hizo

Lakini baadae wanafunzi wale wamekuja kuwa na maarufu mkubwa kuliko waliowafundisha

Hawa ndio wanafalsafa wakubwa waliofundishwa falsafa barani afrika katika nchi ya Misri
 
1) Thales wa Miletus mwanafalsafa wa kwanza wa kigiriki, alikuwa ni mwananyota (astronomer) na mwanahisabati
Inakadiriwa alizaliwa mwaka 626 kabla ya Yesu kristo na kufariki mwaka 548 kabla ya Yesu Kristo

Na yeye ni miongoni mwa wanafalsafa wale 7 wakubwa zaidi katika nchi ya Ugiriki

Na yeye ndio anajulikana kama mwanzilishi wa ustaarabu wa Magharibi ( Western civilization)

Thales alifundishwa falsafa nchini Misri
Na baadhi ya wataalamu wanasema kuwa Thales alikuwa akiita Misri kama ni eneo la elimu
 
2) Pythagoras wa Samos

Nadhani wote tumesoma Pythagoras theory tulipokuwa sekondari basi ndie huyu aliyeanzisha nadharia hiyo

Wengine humuita baba wa hesabu

Inakadiriwa aliiishi afrika kwa zaidi ya miaka 20 Akiwa anafundishwa mambo mbalimbali ya kifalsafa
 
3) Plato huyu ni miongoni mwa wanafalsafa wakubwa duniani... Na yeye ndie muanzilishi wa chuo cha kwanza cha kitaaluma katika nchi za magharibi (Plato school of thought)

Kwa miaka 13 alikuwa afrika akiwa anafundishwa mambo mbalimbali ikiwemo mambo ya nyota na sayansi (natural science)
 
5) Hippocrates
Wasomi wa masuala ya madawa nadhani jina hili sio geni kwenu ...wengine humuita baba father of medicine

inasemkana nae ni miongoni mwa wanataaluma waliopitia mikononi mwa watu wa misri ambako alilelewa kitaaluma kwa miaka kadhaa

Nimewataja wanafalsafa hawa kwa uchache japo yapo majina mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…