myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee...Napiga mikutano yangu sehemu za wazi kama sokoni na barabarani kwasababu maisha ni magumu na kuwatoa watu kwenye shughuli zao za kujitaftia riziki sio vizuri..!! Mimi nawafaya palepale kwenye shughuli zao na napiga sera zangu palepale..!! Mh HASHIM RUGWE ; Mgombea Urais kupitia Chama Cha Chauma.
Huku ni kwema kabisa mkuu, karibu sanaKwema, habari za ukanda wenu huo.
Nadhani kati ya sep au Octoba nitapita pande za huko.
Nitafanya kila njia tukutane mkuu