Kula like kwa kutoa darasaNi mtazamo wako tu mkuu.
Kuna forum nyingi pamoja category zake nyingi.
Jamiiforums inawigo mpana we chagua wapi ambapo ni pazuri kuchangia mkuu.
Sio kila mtu anaeingia humu jf kwa lengo la kuchangia mada moto moto.
Wengine wanaingia kurefresh kutokana na shughuli za hapa na pale.
Karibu tena mkuu.
Muda wote nilidhani me, karibu sanaView attachment 525750
Ndiyo ndugu yangu, mimi ni Goddess Isis
Duh! Ok tuendelee na mwendo wa likesMuda wote nilidhani me, karibu sana
ahaaa nilijua isis wale jamaa wa kujilipuaOk utaipenda hakika!
edit madam...Ndjdjdn
kazi juu ya kaziBampa to bampa...