sam leon
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 890
- 1,191
Kula like kwa kutoa darasaNi mtazamo wako tu mkuu.
Kuna forum nyingi pamoja category zake nyingi.
Jamiiforums inawigo mpana we chagua wapi ambapo ni pazuri kuchangia mkuu.
Sio kila mtu anaeingia humu jf kwa lengo la kuchangia mada moto moto.
Wengine wanaingia kurefresh kutokana na shughuli za hapa na pale.
Karibu tena mkuu.