Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahaha
Aah itakuwa poa sana...Yupo kwenye mpango wa kuachiwa tena kuanza kufanya safari
Nasikia wanapanga kumrudisha angani. New York- London 3.5 hrs instead of 7hrs. Emirates wameshatangaza wanairudisha angani mwaka 2022.Inashangaza kuwa mpaka leo hakuna mbadala wa huyu mwamba....
🤣🤣🤣umenichekesha mpaka nimepaliwa!Huyu akinitembelea kitu cha kwanza ni kumsongea ugali...
View attachment 1541882
Duuu[emoji23][emoji23]