Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,934
- 13,954
2022 fly Emirates ndio wameplan kuirudisha kwenye game tena.Yupo kwenye mpango wa kuachiwa tena kuanza kufanya safari
Kuna Baharia atakuwa amemuonjesha dudu, saa hizi analichezea[emoji23][emoji23][emoji23].Kuna baharia hapa atachezea mvua 30...
View attachment 1542374
Namtakia kila la kheri mama huyu, naamini pasi na shaka jukumu hilo lipo chini ya uwezo wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mweeh[emoji23][emoji23]View attachment 1542177