moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wadau wanasema hivyoKwahiyo huyo jamaa hapo kushoto anamiliki shogali au....
Juma Nkamia alijipendekeza sana kwa mh mkulu ati aongeze mihula ya utawala, mh kila siku anatoa ufafanuzi yeye anaendelea kung'ang'aniza hoja zake.Tutakuwa nao kijiweni huku
Jiraniiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JIEPUSHENI NA DHANADuuu, maalim kumbe janja sana huyu jamaa
Ndiyo hivyoahsante sana
- mtulia
- mtolea
Haya nduguJIEPUSHENI NA DHANA
nimesema typing error
wewe mzee ulikuwepo wapi nilipoandika hiyo comment