Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Inadaiwa wagombea wa vyama vingine wamefanya makosa kwenye kujaza fomu zao.Wamepitaje hawa? Ni makosa kwenye fomu za wagombea wengine ama?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mzee kuna siku atakuja kuukwaa uraisTumpigie kura huyu mzee jamani
View attachment 1548526
Duh!!Tumpigie kura huyu mzee jamani
View attachment 1548526
Hahaha "bang hard"
Siasa hizi ..Inadaiwa wagombea wa vyama vingine wamefanya makosa kwenye kujaza fomu zao.
Nadhani baadhi ya maeneo wagombea wa vyama vingine wamekula bingo ili kutoa nafasi kwa vibopa kupita bila kupingwa
Mengine yote hukuona umeona hilo tu?Hahaha "bang hard"