myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji120][emoji870]Salam kwenu
[emoji120][emoji120][emoji870][emoji870][SUB]Salam kwenu[/SUB]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji870][emoji870]Salam kwenu
Huko wakanda ni vilio tu. Rest easy Chadwick!
Hivi neno "wakanda" lina maana gani?Huko wakanda ni vilio tu. Rest easy Chadwick!
Si ndio ile imaginary village ambayo yeye alikuwa mtawala!Hivi neno "wakanda" lina maana gani?
[emoji38][emoji38]hutaki pesa ya usajili ibaki hapahapa?!
AhaaSlSi ndio ile imaginary village ambayo yeye alikuwa mtawala!
Wamuache kwanza apige boli[emoji16][emoji38][emoji38]hutaki pesa ya usajili ibaki hapahapa?!
Kwa kweli hata mimi nawaomba waonee huruma pesa ya yanga[emoji28]Wamuache kwanza apige boli[emoji16]
😅😅😅😅Wananiuzi mimi, basi tu🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 halafu sasa ni kila muda
RIPRest easy BroView attachment 1551586
Za uzima TH?weekend inaendaje hapo?