Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee6. Kambare: samaki wa maji baridi mwenye kichwa kikubwa kigumu cha bapa na masharubu marefu.
SawasawaSAMAKI AINA YA SALMON.
Huyu ni samaki aliye maarufu sana duniani. Ukiachana mbali na kuwa na minofu pia mafuta ya samaki huyu ni mujarabu katika kulinda afya ya mwili dhidi ya maradhi pamoja na kusaidia ukuaji mzuri wa mwili na akili hususan kwa watoto wadogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko watakatifu wa bandia kuingia mbinguni...
Za kupotea? Proposal yako iliendaje mgumu wewe? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1571041