myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiwasahau wapishiMliotoka kazini poleni
Amin.Poleni wagonjwa wote, Mungu awaponye[emoji120][emoji120]
AminMungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Jioni imetufikia pande zetuKuelekea jioni
Karibu sana, Jioni ndio inaagaHodi jamani
Sana tu ila episode za mwanzo kusinzia muhimu,nilikua naipotezea sana ila nilipoamua kuielewa nilijuta kuiangalia haraka ikaisha mapemaAunt hospital playbook tamu ee? Nimeangalia Ep1, nikasinzia kabsa😄
😍😍😍😍awesomeWow...chukua zawadi yakoView attachment 1572565
Bado kujua Kimchi na tambi😍😍😍😍awesome
Mbona umefuta izo kucha
[/QUOTE/]
Tambi zisizo iva zinaumiza tumboBado kujua Kimchi na tambi
Mbobo, kumbe zile tambi zao huwa haziivi? Au unanikumbusha nipike tambi ziive vizuri,nisiumwe tumbo?[emoji4]Tambi zisizo iva zinaumiza tumbo
Ewaa nakukumbusha uivishe vyema, usije kuwa mgeni wa maliwatoni.Mbobo, kumbe zile tambi zao huwa haziivi? Au unanikumbusha nipike tambi ziive vizuri,nisiumwe tumbo?[emoji4]
Ahsante kwa kujali,Ewaa nakukumbusha uivishe vyema, usije kuwa mgeni wa maliwatoni.