Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I say one love kwa wanangu wa kitaa...
Nyie ndo mnanunua CD...

Two love kwa wanafiki wa Insta...
Mnafanya niongeze bidii...

Three love kwa master na rita...
Mlinifanya hasira zizidii...

Four loνe njia ngumu nilizopita...
Mkanipa na jina mkasema niitwe...
Jeshi, konde boy Jeshi...

Tena siku hizi wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi...

Yaani kama una pigo za kirembo
Jeshi, konde boy Jeshi
Yaani wanangu wananiita tembo



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…