Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapotajiwa Orodha ya *wahalifu* sugu, wasumbufu waliodumu katika kuichezesha shere sheria wakaipindua namna walivyotaka na kuvisumbua vyombo vya usalama kwa miaka mingi katika zama za kisasa, katika orodha hiyo namba moja anasimama mwanaume mmoja hatarishi kwa jina la *El Chappo Guzmann*.Story yake huwa inanisisimua *mno* lakin katika nondo za mojawapo ya Magereza huko Marekani, kuna jamaa anaitwa *Barnum*
 
Huyu jamaa ni moja kati ya wafungwa ambao kuliko *kushea*' nao gereza ni bora tu uongezewe kifungo, yaan kama ulikuwa ufungwe na Bwn Barnum gereza moja kwa miaka mitano au ufungwe miaka 10 bila Barnum ni bora uchague miaka kumi bila Barnum..[emoji1783]..utakuja kunishukuru baadae..[emoji117]

Jamaa ana uwezo wa kukatisha uhai wako anapohisi au kujisikia anawiwa kufanya hivyo na hakuna chochote utaweza fanya..Muonekano wa Barnum si rafiki hata kidogo,sehemu kubwa ya mwili wake imesheheni tattoo za kuogofya, mpaka mboni ya jicho lake imechorwa tattoo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…