Sisi wazee rekebishaMpo poa vijana?
Kula likes zakoNipe nikupe raha tupate, njoo upate mambo mazuri toka kwangu
ujaziweJaza ujazwe
Who na whoAmani itawale humu maana juzi kati hapo niliona mkitoleana povu
Napita kuwapa hi tu guys
Karibu.Amani itawale humu maana juzi kati hapo niliona mkitoleana povu
Hapa ni mwendo wa likes tuNapita kuwapa hi tu guys
Nawamis sana
Kula zingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi na wewe hapana hata my Queen the one and only akisikia hatashangaaUtakuja kuwasha moto saa hizi[emoji3]
buzi tata weee..mic ww jmnimimi hapa halaf kula like
Anakula kwanza atakuaja[emoji23] [emoji23]Hakika,hebu mshitue mwenzio akuje
HahahahaAmbae anaogopa kula likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jinga weweSikumbuki maana nilisikia kitambo.
Mieleka na mda mrefu sana niliacha nayo
Nimesikia kitambo tu sema nami now sipo karibu na mielekaLini mbona sijapata taarifa
Nipo mkuu.Mkuu upo?
Utakuwa na wewe my third princess after Carbamazepine and cocochanelMalizia nikuchambe,nshavaa dera na keki hapa. Nakusunta huku nakula keki hahah