Gemu la FIFA 21 limeachiwa rasmi tayari, Toleo la kawaida bila kodi ni Tsh 139, 195, Toleo la Champions ni Tsh 185,595 na Toleo la Ultimate ni Tsh 208,794.
Mechi ya kwanza kabisa ya mpira wa miguu kuoneshwa kwenye Televisheni ilikua ni mchezo wa kirafiki kati ya Arsenal na Arsenal Reserves tarehe 16 septemba mwaka 1937.