carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] niite nikusaidie kula keki lakinMalizia nikuchambe,nshavaa dera na keki hapa. Nakusunta huku nakula keki hahah
Mistari mistari[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata kama uzungu...ndo nn kuvaa ivyo mbele ya kakaako??? Tuwe na akili wadadaView attachment 538024
Habari ya siku nyingi mamajaza ujazwe
Ngoja nimuulize carbamazepineCole leo naona katingwa,anaonekana kwa ziara za kushtukiza
Mimi muzima kabisa naogelea likes sasa hiviNimerudi mama.
Nimekuacha salama.
Hope uko poa zaidi
HahahahahaaaNaona anashangaa jinsi likes zinavyomimika kama mvua
Sambaza likes pata likesFakalava is BANNED.
ahsante san mkuu nakuona kwenye ubora wako kam kawaKaribu tena.
Mzee wa ini kawahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hana zizi huyo mwache alitwalie kimwana
Mtoto nsamaka wapiVurugu vurugu za hapa na pale ili mradi siku ipite
filisika tujue tabia ya mkeoPata pesa tujue tabia yako