Wizi wa ccm ebu angalia Zanzibar ina watu 1.5mil wapiga kura ni 500k wanapiga kura siku mbili, sisi bara tupo weng lakini tunapiga siku moja! Ni dhahiri wizi huo. Haki haitendeki pande zote BARA na VISIWANI nini maana ya uchaguzi sasa, KUNA HAJA MATAIFA YAINGILIE KATI SUALA LA TANZANIA.