Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dizaini ya hawa watoto, inabidi uwe na mwili flani hivi,halafu umeenda hewani kiana[emoji23][emoji23]
...na mjurubeng wa kueleweka...na tumazoezi zoezi ufanye...na lishe bora[emoji2099][emoji2099][emoji2099]Dizaini ya hawa watoto, inabidi uwe na mwili flani hivi,halafu umeenda hewani kiana[emoji23][emoji23]
Vinginevyo utachekesha tu
Sawa sawa kabsa bro...na mjurubeng wa kueleweka...na tumazoezi zoezi ufanye...na lishe bora[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nyimbo zake nzuri, ila AkapoteaLeona Lewis -Better in time
😃😃 walimu wanatuonaje.?
Anaigiza siku hizi, yupo kwenye series flan hivi inaitwa The OathNyimbo zake nzuri, ila Akapotea