myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Naona ule usemi wa Usiweke mayai yote kwenye chungu/mkoba mmoja hapa ulipitia kushoto kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]Kumekucha na mahangaiko yake. Mungu Atupe leo mkate wetu wa kila siku [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1617569
Bradhaaaa umeibukia wapi cheiiiiiPoleni sana.
Mmefungiwa nyumbani?
Jasusi la Kimataifa...[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji109][emoji109][emoji109]
View attachment 1616864
Kuna mtu hapa amenishauri eti nisiijibu hii comment ! Ila ndo hivyo nimejikuta tu nimeijibu12:05
capitalpool salamu zangu unazo eeh. Eti baadae mnakutana wagonjwa kwa wagonjwa πππ alisikika mwaka UKAWA mmoja
Man u vs Arsenane
Eti jamani ππ nyumbani kwao kabisa ila wakashindwa kujiteteaPoleni sana.
Mmefungiwa nyumbani?
Jibu lako lenyewe sijalielewa πKuna mtu hapa amenishauri eti nisiijibu hii comment ! Ila ndo hivyo nimejikuta tu nimeijibu