Alikuwa miongoni mwa wanasayansi maarufu sana Marekani. Alikuwa amechangia pakubwa katika nchi hiyo kimaendeleo ya kisayansi na pia kuna uwezekano mkubwa angeifanyia Marekani uvumbuzi wa ajabu. Kwa hiyo sio tu kwamba ilimdhalilisha lakini pia ilimsaliti," anasema mwanahabari na mwandishi, Tianyu Fang.
Qian alipokelewa China kama shujaa lakini hakujumuishwa moja kwa moja kwenye chama cha Kikomunisti.
Na alipojiunga na chama hicho rasmi mwaka 1958 alijitahidi sana kutoenda kinyume na utawala uliokuwepo.
Na hatimae alifanikiwa kujiendeleza katika taaluma yake.
Wakati anawasili China kulikuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya sayansi ya roketi, lakini miaka 15 baadae aliongoza uzinduzi wa satelaiti ya kwanza ya China kwenda kwenye anga za mbali.
Wakala Pini Zahavi imemtoa kama ofa mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Bayern Munich David Alaba kwa Real Madrid lakini Juventus na Inter Milan pia zinapenda kumnasa mchezaji huyo, 28 raia wa Austria, ambaye mkataba wake utamalizika mwishoni mwa msimu. (Calciomercato - in Italian)
AC Milan imemfanya mlinzi wa Barcelona, Emerson, 21 ambaye anacheza kwa mkopo katika klabu ya Real Betis, kuwa mchezaji wanayemuhitaji zaidi msimu ujao. (Todofichajes-in Spanish)
Kocha wa Napoli Gennaro Gattuso amebainisha kuwa nyota James Bond Sir Sean Connery, aliyepoteza maisha siku ya Jumamosi, alijaribu wakati mmoja kumshawishi kutoondoka Rangers. (Sky Sports)
Kocha wa zamani wa Chelsea Maurizio Sarri anaongoza katika orodha ya watakaochukua nafasi ya Bappe Lachini ikiwa atafukuzwa na Fiorentina. (Calciomercato)
Wolves wana mpango wa kumnyakua beki wa kulia wa Middlesbrough Djed Spence,20, wakati wa dirisha la usajili la mwezi Januari. (Teamtalk via Birmingham Mail)
Inter Milan iko tayari kumuuza kiungo wa kati wa Denmark Christian Eriksen, huku AC Milan, Roma na Lazio zikionesha nia ya kumsajili aliyekuwa mchezaji wa Spurs, 28 kwa kima cha karibu pauni milioni 18. (Calciomercato - in Italian)
Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Neymar amekiambia klabu cha Paris St-Germain anataka kusalia kwenye klabu hicho na mazungumzo ya makubaliano mapya juu ya mchezaji huyo, 28, ambaye mkataba wake unakamilika 2022. (Foot Mercato, via Sunday Mirror)
Mlinzi Phil Jones, 28, anahofia kwamba uhamisho wa mkopo kutoka Manchester United hadi Burnley Januari upo hatarini kwasababu klabu hiyo huenda ikanunuliwa. (Daily Star Sunday)
Mshambuliaji wa Uhispania na Real Madrid Isco, 28, anafuatilia kwa karibu kukutana na aliyekuwa kocha wake Carlo Ancelotti na aliyekuwa mchezaji mwenzake James Rodriguez huko Everton. (Sunday Mirror)
Kocha wa Gennaro Gattuso anakaribia kutia saini mkataba mpya na Napoli, huku mkataba wake wa sasa ukikaribia kumalizika mwisho wa msimu huu (Sky Italia - in Italian)
Aliyekuwa nyota wa Ufaransa na Arsenal Robert Pires anaamini kuwa mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, 21, atanufaika na uhamisho wa Real Madrid. (Goal)Liverpool inamfuatilia mlinzi wa Ajax Perr Schuurs, 20, baada ya matokeo ya hivi karibuni ya Mholanzi huyo dhidi yao katika Ligi ya mabingwa. (Sunday Mirror)
Aliyekuwa nyota wa Ufaransa na Arsenal Robert Pires anaamini kuwa mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, 21, atanufaika na uhamisho wa Real Madrid. (Goal)Liverpool inamfuatilia mlinzi wa Ajax Perr Schuurs, 20, baada ya matokeo ya hivi karibuni ya Mholanzi huyo dhidi yao katika Ligi ya mabingwa. (Sunday Mirror)
Atletico Madrid imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Afrika ya Kati Geoffrey Kondogbia, 27, kutoka Valencia baada ya La Liga kumruhusu kusajili mbadala wa kiungo wa kati wa Ghana, 27, Thomas Partey, aliyehamia Arsenal. (Cadena Sar, via Metro)
Mshambuliaji wa Atalanta Duvan Zapata, 29, ni mlengwa wa Atletico Madrid, huku kocha Diego Simeone akitazamia kumuunganisha na Luis Suarez. (Calciomercato - in Italian)