Pundamilia, Farasi, Tembo, Faru, Ng'ombe na baadhi ya ndege kama Flamingo wana uwezo wa kulala wakiwa wamesimama, Lakini bado ili kupata usingizi mzito zaidi ni mpaka walale chini. Hupendelea kulala kwa kusimama ili kujikinga dhidi ya wanyama hatari.