capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Huyu dogo waende naye pole pole...GE2020 - Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti
Kwa udhalimu aliotaka kulifanyia taifa hili asitoke mpaka 2025www.jamiiforums.com
Duh....Tafiti: Ulimi wa Mbwa' ni msafi zaidi kuzidi Ulimi' wa Binadamu.Chanzo: amnh
AiseeKondoo wana uwezo wa kujitibu wenyewe kwa kula mimea yenye dawa. Hawafanyi hivyo kwa kubahatisha, Wanajua ni mmea gani utawasaidia kutibu ugonjwa wanaoumwa.
Chanzo: ResearchGate