myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,fanya hivyo, lina sound poa sana Numby Ntolilo NN [emoji28]Ntolilo la kiloromije lile. Sijui niongezee hapa iwe numby ntolilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂ninge bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,fanya hivyo, lina sound poa sana Numby Ntolilo NN [emoji28]
Makande ni nn?Maharage ni mboga au kiiungo chamakande?
Kuna nini tena mkuuChaji simu yako.Thank me later.
Tunaomba pichaBASI LA MWENDOKASI LAUNGUA MOTO Basi la mwendo kasi likiungua moto karibu na taa za kuongozea magari Magomeni jijini Dar es Salaam. Hakuna majeruhi wala kifo kilichotokana na moto huo. Chanzo cha moto bado hakijafahamika.
Kuna nini tena mkuu
Ni kwa mikoa yote? Au kwa dar tu?Mvua hizi hasa dar umeme hautabiriki unaeza shangaa umekatika