Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Advice from a flower 🌼. Be bright 🌞. Be sunny 😎. Be positive ✨ 🙂. Spread seeds of happiness 😊 Rise, shine and hold your head high ✨. Anza siku yako kwa furaha na shukrani. Usiwe mtu wa kulalamika kila mara. Usipende kuangalia mabaya tu ukasahau mazuri na mema uliyobarikiwa na Mungu. Usiwe mtu wa kupoteza muda wako na magroup ya watu wanaofikiria mawazo hasi tu kwani hali hii inafyonza furaha na nguvu (avoid negative energy). Jitengenezee mazoea chanya kila siku na utaona maisha yako yakibadilika
 
ETO'O ANUSURIKA KIFO _ Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Barcelona na Mshindi mara nne wa tuzo ya mchezaji bora Afrika Samuel Eto’o amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea siku ya Jumapili wakati akielekea mji wa kibiashara nchini Cameroon wa Douala, kwa mujibu wa wanafamilia wake. Eto'o alikuwa akirejea kutoka mji wa Bafoussam, Magharibi mwa Cameroon, ambako alihudhuria tamasha mwishoni mwa juma. Dereva alisema kuwa alishindwa kulidhibiti gari na kuyagonga magari mawili yaliyokuwa kwenye msafara wa Eto’o. Msemaji wake alizungumza na BBC idhaa ya Pidgin kuwa anaendelea vizuri na kuwa gari lake liliharibika. Huku akikataa kujibu maswali zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…