myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huku mvua kila siku, nafikiria kuanza kilimo kwenye bonde la mto mzingaVipi huko TMK mko poa?
Poleni wakulima wote...
AminPoleni wagonjwa wote, Mungu awaponye 🙏 🙏
Mungu atupe afya na uzima🙏🙏
Twende ileje tukalimeHuku mvua kila siku, nafikiria kuanza kilimo kwenye bonde la mto mzinga
Ileje tutalima zao gani?Twende ileje tukalimeView attachment 1629328
Mahindi,karanga,maharageIleje tutalima zao gani?
Haya twendeMahindi,karanga,maharage