Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Ila kosa pale inapotumika vibaya mkuuKuiga siyo kosa bro
Please, go to your WhatsApp inbox. I left a message almost two hours.
Anataka tufanye nini? Tutetee nini hapo?
Ila kosa pale inapotumika vibaya mku
Umenena vema.Anataka tufanye nini? Tutetee nini hapo?
Je kuna ukatili wowote au unyanyasaji uliofanyika?
Ikiwa wao wenyewe hawakwenda kwenye kikao kutoa maelezo then watetezi hapo watafanya nini?
Seat zenyewe ni za kiti maalum, za kupewa!!!!
Ingekuwa wamedhurumiwa kura hapo makundi yangejitokeza kusema.