Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rabiah Damji, Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ni mmojawapo wa wataalamu waliotengeneza app ya 'Twitter Lite'. Twitter lite ni app ya Twitter ambayo inatumia data kidogo zaidi na inachukua nafasi kidogo kwenye simu.

Chanzo:TheCitizen/RealKhalifax
 
Cha kushangaza, zile taasisi zilizokuwa zinahangaika kuhakikisha wapinzani hawapati ushindi kwenye sanduku la kura ndizo ambazo leo zinapigana vikumbo ili upinzani upate viti maalum.
Hivi wamepata wapi huruma hii?
Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni
Nguvu kubwa inatumika kutaka waingie bungeni kwa nini hawakufanya fair election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…