The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Nakuja hapo Nyakato uniwekee kwa External mie๐๐๐๐๐๐Halafu zote ni family drama episode 50 kila moja. Nikizidaka hizo christmass na new year mambo ni fireee
Waaow raha sana ukitulia unafaidi taratiiibuuu๐๐๐huwez amini mpaka leo sijamaliza Golden life, nimekuwa mzururaji sijatulia hata kidogo
Nipo igombe๐๐๐๐๐Nakuja hapo Nyakato uniwekee kwa External mie๐๐
Watu na makabila yaoWakinga huenda wakauangusha umaarufu wa kibiashara wa Wachaga
Nawaona ndugu zetu hawa wa jamii ya Kikinga katika mikutano yao ya pamoja ya kimkakati juu ya jinsi gani watafanya biashara ambayo itawaletea utajirisho mkubwa katika vikao vyao mbalimbali sehemu mbalimbali hapa jijini Dar es Salaam (Bungoni na Tabata) ndani ya mahoteli nadhifu sana na ya...www.jamiiforums.com
๐๐๐๐umeanzaaNipo igombe๐๐๐๐๐
Acha kabisa katika kuzurura na stream VIP๐คWaaow raha sana ukitulia unafaidi taratiiibuuu
Sis Wasukuma hapa ni kukaa kimya tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Watu na makabila yao
Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia
Kwema wadau! Nianze kwa kusema nchi hii hatuendekezi Ukabila, hatuupendi, na hatuutaki. Hivyo mada zinazogusa Ukabila isichukuliwe kwamba ni uhamasishaji wa hisia za chuki za kikabila ndani ya Jamii. Kiasili mimi ni Mnyamwezi wa Urambo lakini nimeishi na kukulia Kilimanjaro. Ninadamu ya...www.jamiiforums.com
Nลซmbลซ na mabele maliboto [emoji39][emoji39][emoji39]