Twende kwenye mada Moderator naomba huu uzi umsiiunganishe na uzi ule wamwanzo Issue iliyomkuta kijana mwenzetu mpambanaji Mr kuku kiukweli alijipanga Sana kuakikisha anafikia malengo yake lkn sheria ambayo haina faida yoyote kwake imemfilisi Watu walikua wanatoa Pesa in cases baada ya...