Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu unazipata wapi hizi? Nimezipenda sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mzimaa mum,location wapi sasa.? Au mtini panatosha😬Vere faini wa kwetu
Mzima weye??
Dada, Salama?Mzimaa mum,location wapi sasa.? Au mtini panatosha😬
Pamoja na kuwa na maudhui mazuri, kuna mabaharia wakimuona huyo binti alivyojilaza hapo basi moja kwa moja wanafikiria kumlaza kwingine [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Mtani ningekua hapo karibu ningekupiga kikofi.Vere faini wa kwetu
Mzima weye??
Kwema kabisa, mambo ni vipi?Bro kwema
Tembelela akaunti ya Facebook ya ndugu Evodius ValenceMkuu unazipata wapi hizi? Nimezipenda sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobil