The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji23][emoji23] bora umenikumbusha nisisahau visukumiza Wekeend[emoji898]View attachment 1652582@The Happiness [emoji23]
Kananoga sana....Imagine nimecancel out leo kisa kulala[emoji23]Haka ka tabia bhana[emoji23][emoji23]
carbamazepine tumwambie inlaw kinachojiri au tumuache😎....au ndio anaombewa msamaha nibaki jimboni.?Dave kafichwa na the happiness😂😂kuibuka humu kwa ruhusa maalum
Nadhani unako 😂😂Haka ka tabia bhana[emoji23][emoji23]
Pamoja na kuwa na maudhui mazuri, kuna mabaharia wakimuona huyo binti alivyojilaza hapo basi moja kwa moja wanafikiria kumlaza kwingine [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Halafu lazima huyu Mnyakyusa !!!